Ila kulikuwa na jambo moja
dogo lililokuwa likinisumbua sana, nalo si linguine bali ni mdogo wake wa kike
ambae kiukweli alikuwa mzuri sana.
Huyo binti (shemeji yangu)
alikuwa na umri wa miaka ishirini na moja hivi, na muda wote alipendelea kuvaa
sketi fupi fupi na fulana nyepesi au brauzi zinazoonesha mwili wake.
Na kwa jinsi kifua chake
kilivyo alikuwa hahitaji kuvaa sidiria, naamini unapata picha ya mtu
nnayejaribu kumzungumzia.
Pamoja na binti huyu kuwa
mwembamba kiasi, alikuwa na umbo la ajabu, yaani kiuno chake kiliumbwa mithiri
ya nyingu mweusi.
Tatizo ni kwamba mara nyingi
binti alipokuwa akiniona alikuwa na tabia ya kujipitisha pitisha na kuinama
mbele yangu ili kunionesha mtaji wake.
Kusema kweli nilikuwa navutiwa
sana na uzuri wake, na pia nilijua alikuwa ananifanyia makusudi maana alikuwa
hafanyi hivyo kukiwa na watu wengine, bila shaka alikuwa ananitaka.
Siku moja binti huyo
alinipigia simu niende nyumbani kwake nikaangalie kadi za mialiko ya harusi
alizokuwa amechapisha, nilipofika (wakati naingia ndani) akaninong'oneza kuwa
ananitamani sana na kamwe hawezi kujizuia.
Akaendelea kunieleza kuwa
anahitaji tufanye mapenzi kabla sijafunga ndoa na dada yake ili nisijisikie
vibaya kwamba natoka nje ya ndoa.
Nilipatwa na bumbuwazi na
hasa kutokana na nguo za nusu uchi alizokuwa amevaa.
Kabla sijamwambia lolote
akaniwahi na kusema "Mimi natangulia juu (ghorofani) kwenye chumba changu,
kama unahitaji nikupe kitu kitamu njoo haraka kabla mashetani yangu hayajapoa"
akageuka na kukimbilia chumbani.
Haraka nikageuka na kuelekea
mlango mkubwa wa kutoka nje kutaka kuelekea kwenye gari yangu.
Daaah...! Kwa mshangao mkubwa
nikaona pale nje familia yote imekusanyika, waliponiona nikitoka wakanipigia
makofi na vigelegele kwa furaha, huku wengine machozi yakiwatoka kwa furaha.
Baba mkwe akaniambia "Tumefurahi
sana kwamba umeshinda mtihani mdogo wa uaminifu ulioandaliwa na familia.
Ila kiukweli unajua ni nini
hasa kilikuwa kinafata...? Ukweli ni kwamba MDA ULE NATOKA KULE NDANI NILIKUWA
NAENDA KWENYE GARI KUCHUKUA CONDOM…!
dah! Jamaa ametisha xana babake
ReplyDeletehajatisha wala nini umesoma mpaka mwisho!
ReplyDelete