Najua wengi wenu mnaweza kuniona kama nnachokiongea au kuuliza katika kutaka kujua ni kama utani wa aina fulani hivi.
Ila kiukweli, moja kati ya vitu ambavyo wanaume wengi huvutiwa au kutokea kuwatamani wanawake ni kwenye sehemu hii nyeti ambayo mara nyingi husitiliwa na mavazi.
Swali langu la msingi, je kuna kitu gani maalum chenye kumfanya mwanaume kuvutiwa na matiti ya mwanamke?
No comments:
Post a Comment