Thursday, April 25, 2013

Shirika Lapigwa Faini Kwa Kufanya Onyesho La Bikini Ndani Ya Ndege

Shirika moja la ndege limetozwa faini baada ya ndege yake moja kufanya onyesho la bikini katika hali ya kuvutia wateja zaidi.

Ndege hiyo ya Vietnam imepigwa faini baada ya kufanya onyesho hilo bila ruhusa, wakati ndege yake ikiwa angani na abiria.

No comments:

Post a Comment