Masikini mtoto huyu, hapa anajaribu kumuamsha mama yake ambae bila yeye kufahamu kama tayari amekufa. Kila mtu anaendelea na shughuli zake pasipo mtoto huyu kupata msaada wowote, yaani ni kama vile ni tukio la kawaida sana.
Ni tukio ambalo kila niangaliapo picha hii nashindwa kuvumilia, kwa machozi kunilenga kutokana na huruma inayonijaa rohoni. Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepeshe kwa mambo yanayoweza kupelekea kutokea kwa hali kama hii hapa kwetu.
Unadhani ni nini hasa kama si vita na vinavyotokana na chuki zinazopandikizwa miongoni mwetu...
Mwenyezi Mungu amsaidie mtoto huyu aweze kupata chakula, mavazi, makazi na elimu, “Mwenyezi Mungu pia atusaidie na sisi kuendelea kuitunza amani yetu na kutufanya kuelewa umuhimu wake ili tusiingie kwenye hali itakayoweza kupelekea maafa kama haya.”
KAMA KWELI UNAJALI, TAFADHALI SHARE UKURASA HUU KWA WOTE UNAOWAJALI....!
No comments:
Post a Comment