Alejandra Benitez |
Hivi karibuni ameteuliwa kuwa waziri na mrithi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Hugo Chavez, aitwae Nicolas Maduro.
Benitez, 32, amekuwa akivigusa vyombo vingi vya habari toka alipoteuliwa kuwa waziri, huku picha zake zikiwa zinasambazwa na kuonyeshwa kwa wingi kwenye majarida na mitandao mbalimbali, hasa zile ambazo alipigwa akiwa kwenye michuano ya olimpiki ya mwaka 2008.
Kwa sasa anatajwa kuwa ndiye Waziri mrembo kuliko wote juu ya udongo huu, fanya kuangalia baadhi ya picha zake.
No comments:
Post a Comment