Tuesday, April 16, 2013
BINTI ANASWA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI
Hawa binadamu wasiokuwa na aibu walikutwa barabarani wakifanya mapenzi huku wakiwa wameegesha gari lao pembeni
Tukio hili chafu lilitokea week end iliyopita wakati binti huyu akitoka club huku akiwa tungi. Alipotoka nje ya ukumbi huo wa starehe, alionekana kumvaa dreva tax mmoja ili ampeke nyumbani.....
Mdau aliyeinasa picha hii anadai kuwa walipoondoka naye aliwasha gari yake tayari kwa safari ya kurudi kwake.Wakiwa njiani, alishtuka kuona gari hiyo ikipakiwa pembeni mwa barabara....
Jamaa anadi kuwa alilipita gari hilo na alipofika mbele alikaa kidogo na kuamua kurudi tena na ndipo alipowafuma live wakifanya uchafu huo na kuwapiga picha....
Walipokurupushwa na mwanga wa kamera ya jamaa huyo, mbulula hao waliliondoa gari lao kwa kasi na kutokomea..!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment