Friday, March 16, 2012

Friday Dadaz NITE ndani ya Galapo ni Funiko

Ni Disco la Dadaz Ijumaa hii na kila Ijumaa likiwa na Swagga tofauti, huku watu waki-party toka 4 Usiku mpaka chwee
Dancing Competation mpaka kieleweke
Ni ndani ya Galapo Club Masai iliyopo Ilala Sharif Shamba, karibu na BASATA
Kwaito ikichezwa kwa style mpya
 Disco linasimamiwa na Dj Dan Chibo & Dj Fax, kwa aina zote za ngoma, RnB, Hip Hop, Bongo Fleva, Ragga, Kwaito na nyinginezo...!
Unaijua hii, mabega kiuno
 Wanawake huingia BUREEE na wanaume huchangia Buku Tatu tu...!
Ni full kujiachia
 Watoto wakali toka vyuo vya DSJ, TIME, St. John na Data Star hapa ndio kiwanja chao kila siku za Ijumaa...!
Warembo ni wakali
 Kuna watu wa aina tofauti toka pande za jiji, Mastaa kibao pia ni kiwanja chao, Ney Wamitego, Dj Bura, K-One for Real, Baucha, Hakeem 5, Dj Zirro na wengin kibao
Hapo je..!?
Huduma ya vyakula na vinywaji ni nzuri na kwa bei poa sana
Ni wewe tu..!
Kuna Parking ya kutosha, ulinzi wako na mali yako ni wa uhakika kwa 100%
Fika Ijumaa hii na kila Ijumaa ujionee....!!

No comments:

Post a Comment