Friday Dadaz Nite ndani ya Galapo Club Masai IALA Ijumaa Hii na Kila Ijumaa
Kwanza kabisa natoa Big Up kwa Kila Mmoja aliyefika na ku-show love Ijumaa iliyopita ndani ya Galapo Club Masai Ilala, hakika ilikuwa si ya mchezo ambayo si vyema kukosa.
Wadau Ndani ya House |
Warembo na ma-duu toka kila pande huwa hawakosi, Ma-men na ma-star mbalimbambali ni kibwena.
Kama unavyojionea si ishu ya Kukosa kila inapofika siku hiyo, Kama kawa kama dawa theme ni Dadaz Nite, Warembo wakali na Ma-star toka kila kona ya jiji wanakutana hapo kupata Good Time...!
So kwa Ijumaa hii kama vipi Stay tuned kufahamu Swagga yetu itakuwa ipi.
Dj Dan Chibo, Dj Fax na Dj Spesso wakiwa kwenye moja na mbili.
Dj Dan Chibo, Dj Fax na Dj Spesso wakiwa kwenye moja na mbili.
Ni Ijumaa hii na kila Ijumaa ndani ya Galapo Club Masai, ambapo Ladies huingia FReeeeeeee, na Wanaume wanacangia kiingilio cha Promo kwa sasa, yaani buku tatu tuuu!
No comments:
Post a Comment