Friday, February 10, 2012

Dadaz Nite na Simple Shoez Ijumaa

ni friday DADAz NiTE ndani ya GAlapo CluB maSai (Ilala) LEO.......!!
Si mchezo kwa jinsi itavyokuwa, ni zaidi ya IJUMAA iliyopita......!!!
ambapo Ney Wa Mitego, K-One 4 Real wali-show some love....!
Ungana na wajanja Wote kwenye Usiku unaojaa Wadada warembo mbaya...!
Swagga yetu Usiku huu ni SIMPLE na SHOEz zako....!!
Wanawake wanaingia BUUUUREEE - Na wanaume kiingilio ni cha Promo Buku 3 tu...!!
Kwenye 1&2 ni Dj Dan Chibo (Wa Milazo) Dj Fax (Mguu Target) & Dj Spesso.......! Usihadithiwe fika ukawahadithie wengine....!

NB: Galapo Masai Ipo ILALA kama kitu shukia BUNGONI, ipo Karibu na Chuo Cha Uandishi wa Habari au BASATA...!!

No comments:

Post a Comment