Friday, December 09, 2011

Masai Ilala itapagawishwa na Dadaz 50 LEO

Dadaz Nite - Dadaz 50
Katika kuadhimisha Miaka 50 ya Tanganyika, LEO Ijumaa ndani ya Club Masai zamani ikijulikana kama Galapo iliyopo Ilala, litaporomoshwa Disco maalum litakalokwenda kwa jina la Dadaz 50.
Zitapigwa ngoma 50 na kutolewa zawadi 50, yaani mpango mzima utakuwa ni fifty fifty.
Swagga ya Usiku huu ni KIMINI, kwa kukivaa na kutoka bomba, mrembo utajishindia zawadi au fedha taslim.
Mlangoni Wanawake wataingia bure (Ladies Free) na Wanaume wataingia kwa sh. 3,000/- tu.
Kwenye moja na mbili ni Dj Dan Chibo, Dj Packy, Dj Mickie Love, Dj Fax na Dj Oscar Mack.

Unakaribishwa!

No comments:

Post a Comment