Thursday, April 03, 2014

MUHIMU KUANGALIA: Mauzo Yataka Kumtokea Puani! Kim Kardashian Nusura Auliwe na Tembo [PICHA]

Kim Kardashian ambaye kwa sasa yupo kwenye mapumziko na familia yake nchini Thailand, alijikuta kwenye wakati mgumu na kugundua kuwa tembo sio wanyama wapendao mambo ya selfie.

Aligundua hili alipokuwa akitaka kupiga picha na mmoja kati ya tembo kwa ajili ya picha za mauzo, wakati akiwa kwenye mchakato huo ghafla alipata na mshituko pale tembo huyo alipoinua mkonga wake katika hali ya kukasirika uliokwenda kugusa nywele zake.

Licha ya hivyo Kim alifanikiwa kukimbia huku mama yake pembeni akionekana kucheka na mwisho wa siku zoezi hilo lilishindwa kufanyika.

Cheki picha zaidi hapo chini...




No comments:

Post a Comment