Sunday, March 02, 2014

MAAJABU: 'Yesu' Aonekana Maeneo ya Taifa, Ghana [PICHA]

Nimeipata picha hii asubuhi  hii, ambayo wenyeji wamesema wamemuona mtu ambaye anafanana kama 'Yesu' maeneo ya Taifa, Ghana.......

Unaonaje je ni kweli jamaa huyu anafanana na 'Yesu' ambaye tumezoea kumuona kwenye TV na picha..?

1 comment:

  1. Kwani Yesu anafananaje? nani aliwahi kumuona? Je aliwahi kupigwa picha wakati wa uhai wake? Iweje mumuone mtu leo halafu mseme kafanana na Yesu? Labda mseme kafanana na muigizaji wa filamu ya maisha ya Yesu. Nashangaa watu mnachukua picha ya mwigizaji wa filamu inayoeleza maisha ya Yesu na kusema eti ni Yesu mwenyewe.

    ReplyDelete