![]() |
| Wageni mashuhuri walifika hapa kumuaga Mandela akiwemo Oprah Winfrey na Richard Branson na wengi wangineo |
![]() |
| Kuambatana na tamaduni za watu wa Thembu ukoo wa Mandela, jeneza la mfu hufunikwa kwa ngozi ya Ng'ombe ishara ya umuhimu wake katika jamii |
![]() |
| Ukumbi huu maalum ulijengwa kwa ajili ya kufanya maombi kabla ya mazishi ya Mandela |
![]() |
| Waliokuwa wake za Mandela walikesha usiku kucha kabla mazishi kufanyika leo |
![]() |
| Wanajeshi hawa walisindikiza jeneza la Mandela hadi katika ukumbi maalum ambako ibada ya kumuaga Mandela ilifanyika |
![]() |
| Ngozi iliyofunikwa jeneza la Mandela kama ishara ya umuhimu wa Mandela katika jamii ya watu wa Thembu |






No comments:
Post a Comment