Wednesday, December 25, 2013

Kelly Rowland Kutowaalika Beyonce na Memba wa Destiny Child Kwenye Harusi Yake!! SOMA SABABU


Alipoulizwa kuhusu mipango ya sherehe ya harusi yake na meneja/mchumba wake Tim Witherspoon, jaji huyo wa X-Factor aliwaeleza watu: Nadhani tunahitaji hasa kuwa wenyewe na Mchungaji wetu. Ni hivyo kwa ufupi, namaanisha, tutakuwa sisi wawili ambao tutakuwa kwenye kufunga ndoa. 

Hivyo inaonekana kama dada zake wa kundi la Destiny’s Child BeyoncĂ© na Michelle Williams hawatokewepo kwenye harusi hiyo, hata na familia yake pia.

Aliendelea kwa kicheko, unahitaji kulipia chakula kwa kila mtu na sipo tayari kwa hilo. Kila mmoja atakuwa pale kwa ajili ya kufurahi na kuangalia nini nimevaa, ushanifahamu. Niko poa.

No comments:

Post a Comment