Saturday, December 14, 2013

Hela au Nchi...? Maradona Apewa Ofa ya $100,000 Kuvaa T Shirt ya Iran


Hapa ni tunazungumzia ishu ya kuchagua kimoja kati ya hela au nchi. Chama cha soka nchini Iran kimempa Diego Maradona ofa ya $100,000 kuvaa T Shirt ya Iran wakati wa mchezo na Argentina kwenye Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.

Samahani ila nyota huyu wa zamani wa Argentina nimekuwa nikimfahamu kwa muda mrefu na naamini hatoingia kwenye ushawishi wa ofa hii. 
Ukizingatia yeye ni mtu anayejulikana sana ndani ya Argentina, nafasi yake ya ya kukubali ofa hiyo ya kushangaza ni nyembamba kuliko hata kipande cha karatasi.

No comments:

Post a Comment