Tuesday, November 05, 2013
Justin Bieber Anaswa Akichukua Makahaba Brazil [PICHA]
Justin Bieber alibambwa na kamera akiwa kwenye sehemu mashuhuri ya biashara ya ngono iliyopo nchini Brazil mnamo siku ya Ijumaa (Nov. 1), hii ni kwa mujibu wa gazeti la New York Post kupitia Page Six.
Biber mwenye umri wa miaka 19 akiwa na rafiki yake inaelezwa kwamba walitumia muda wa masaa matatu kwenye sehemu hiyo mashuhuri iliyopo jijini Rio de Janeiro kabla ya kuonekana akiwa anatoka huku akiwa amefichwa na shuka. Vyanzo hivyo viliieleza Page Six kwamba Bibeber aliondoka hapo akiwa na wanawake wawili.
Cheki picha zaidi hapo chini....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment