Sunday, March 02, 2014

Nicki Minaj Afikishwa Mahakamani na Mtengenezaji wa Mawigi Yake

Nicki Minaj ametozwa faini ya $30 million kumlipa aliyekuwa mtengenezaji wa mawigi na mitindo ya nywele zake, Terrence Davidson. Mnamo February 21, Davidson alifungua shitaka dhidi ya Minaj ndani ya Atlanta akimtuhumu muimbaji na rappa huyo kwa kuvunja makubaliano yao na kisha kuendelea mbele kuuza bidhaa zake kwenye mtandao wake.

Akiongea na CNN, Davidson akiwa na wakili wake, Christopher Chestnut, alisema kwa sasa rapa huyo anatangaza na kuuza wigi la Davidson kupitia  mtandao wake huku hela zinazopatikana zikingia kwenye mfuko wake, ‘Nayaona haya mawigi kwenye mtandao, watu wanazalisha nilichokiunda kwa ajili ya Nicki Minaj,’ alisema Davidson.

No comments:

Post a Comment