Rais wa Marekani katika hali ya kibinaadamu na kama mwanaume alinaswa na kamera hii akiwa anamdekishia mtoto mmoja wa Kibrazil alipokuwa nchini Italy — kitu ambacho naamini kama angekuwa ni wa kawaida basi na angempotezea.
Barack Obama na aliyekuwa Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy walibambwa wakiwa wanamtolea jicho mtoto mmoja wa Kibrazil aitwaye Mayora Tavares — aliyeelezwa kuwa na umri wa miaka 16 tu kwenye mkutano wa G8.
Unaionaje picha hii..?
No comments:
Post a Comment