Muigizaji huyu wa Nollywood, Biola Ige, anasema amekuja kugundua kwamba wanaume wengi kiukweli huwa wanahitaji kufanya mapenzi na yeye kisha waendelee na hamsini zao.
Msichana huyu aliyezaliwa kwenye jimbo la Osun kama muigizaji alipokuwa akizungumza juu hali yake ya kimapenzi, alisema, ‘Sitoki na mtu yeyote kwa sasa. Nimekua kwa miaka na nimekuja kugundua kwamba wanaume wengi wanachohitaji ni kuingia katikati miguu yako.’
No comments:
Post a Comment