Mbunge wa Chalinze Said Ramadhani Bwanamdogo Afariki Dunia
Marehemu Said Ramadhani Bwanamdogo
Kwa mujibu wa tarifa nilizozipata hivi punde kupitia vyanzo mbalimbali ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM) ambaye alikuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) amefariki dunia. Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema Peponi, Amin... CHANZO: Vyanzo MBALIMBALI
No comments:
Post a Comment