Kate, William na Mtoto Wao |
Prince William na Kate walipungia watu mikono huku wakiwa wanafurahi huku kamera zikiwa zinawapiga picha katika muda ambao walikuwa wanatoka kwenye hospitali binafsi ya St. Mary's iliyopo Lindo Wing ndani ya jiji la London.
Duchess wa Cambridge alisema: 'Ni kitu cha kugusa hisia. Mzazi yeyote ataelewa hisia hizi zinafananaje hasa.'
Alionekana yuko poa kama mama mpya, hebu cheki baadhi ya picha hapo chini........
Kate na Mtoto Wake |
William Akiwa Amembeba |
Mtoto Kwenye Kitenga |
No comments:
Post a Comment