Mungu wangu Rihanna oooo.....! Nyota huyu wa muziki wa pop alipigwa picha akiwa anatoka hoteloni ndani ya jiji la Stockholm, lililopo nchini Sweden akiwa amevaa t-sheti nyeupe yenye kuonyesha mpaka ndani (tránsparent) huku akiwa hana sidiria.
Ni nini huyu mdada anafanya...?
No comments:
Post a Comment