Beyonce alimualika Jay Z kuungana naye kwenye jukwaa juzi kwenye tamasha lililoitwa Sound Of Change lililofanyika kwenye uwanja wa Twickenham nchini Uingereza.
Umati uliokuwapo kwenye tamasha hilo ulichanganyikiwa pale Jay Z alipotokea kwenye jukwaa sababu hakuna hata mmoja aliyekuwa akitegemea ujio wake.
No comments:
Post a Comment