Fat Joe |
Tuachane na hilo, hapa kuna kitu ambacho pekee huwa kinatokea kwenye nchi ambazo serikali zake zipo makini na zinafanya kazi kwa ajili ya masikini na wasiojiweza kwenye jamii.
Mwanamuziki maarufu toka nchini Marekani, Fat Joe, mnamo siku ya Jumatatu amehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi minne huku akitozwa faini ya dola 15,000 kwa kushindwa kulipa marejesho ya kodi...
Fat Joe, mwenye miaka 42 ambaye jina lake halisi ni Joseph Cartagena, aliyesemekana kuingiza kiasi cha dola milioni 3.3 katika kipindi ambacho kilifanyiwa uchunguzi, anakabiliana na uwezekano wakufungwa miaka miwili zaidi iwapo atapatikana na hatia ya makosa mengine mawili ya kushindwa kulipa kodi za makusanyo ya huduma za ndani.
No comments:
Post a Comment