Betty na Bolt |
Wanasema kwamba sio asili ya mwanamke wa Kiethiopia kwa vile anavyofanya, anaonekana kama mwalimu mmoja aliyepotea ambaye hastahili kuwa mwalimu tena.
Ila kuna ambao wanafikiri kwamba Betty ni binadamu kama binadamu wengine ambaye ana hisia.
Betty na Bolt wamekuwa wakifanya ngono isiyo salama ndani ya BBA The Chase na vile tu yeye huwa haoni kile ambacho watu wanakiona kwenye kamera.
Cheki picha hapo chini...
No comments:
Post a Comment