Sunday, May 12, 2013

Msanii Atumia Miaka 20 Kujenga Safina La Noah

Akishawishika kutoka kwenye Kitabu cha Mwanzo, msanii wa Kidachi aitwaye Johan Huibers aliamua kutengeneza Safina huku akiwa amewekeza kiasi cha dola 1.2 millioni.

Sababu zilizomfanya atengeneze Safina hilo ni hofu yake juu athari za machafuko ya kidunia, ambayo anaamini siku moja yanaweza kufika hadi nchini mwake, mafuriko yakiwa moja kati ya athari hizo.

Idea hiyo ilikuja mnamo mwaka 1992, pale msanii huyo alipoota juu ya nchi yake kuzama kwenye maji kutokana na mafuriko sawa na yale ya kwenye Kitabu cha Mwanzo.

No comments:

Post a Comment