Tuesday, May 14, 2013

Je Ni Kweli Kwamba Serikali Ya Marekani Ilijaribu Kumtumia Jay Z Kumpata Shangazi Wa Tupac..?

Oooh… hakika hii haitokuwa kitu nzuri kwa Rais Obama kama ikithibitishwa ni kweli. Ila maneno yaliyoenea ndani ya mitaa ya Marekani kwa sasa ni juu ya Serikali ya nchi hiyo juu ya uvumi ulioenea kwamba ilishawishika kumtumia Jigga Man ili iweze kumpata shangazi wa marehemu Tupac!

Kumbuka, mwezi uliopita polisi wa New Jersey walimtaja mwanamke huyo aitwaye Assata kama Osama Bin Laden wa kike.



No comments:

Post a Comment