Tyga |
Msanii wa Young Money mkali wa ngoma ya “Rock City” Tyga anaachia ngoma inaitwa “Diced Pineapples” ikiwa ni remix amechukua mistari ya ngoma ya God Forgive, I don’t cut ya Rick Ross akafanya ngoma hiyo kwa ajili ya mixtape yake inayoitwa Well Done 3 ambayo inatoka Jumapili hii usiku saa 6.
No comments:
Post a Comment