Wahda & Bayser |
Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kakubali kuwa anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa long time kitambo anayejulikana kama Wahda Mohamed....!
Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...!
Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba....!
CHANZO -Teen tz
No comments:
Post a Comment