Monday, December 19, 2011

Mualiko wetu Jumapili kwa Picha

Ukiwa na Usafiri Binafsi Kinyerezi ni patamu sanaaaa!

Kabla ya Kufika eneo la tukio tuli-visit hapa, panaitwa Kinyerezi Social Club

Toka Shoto ni JP, Geofrey, Rama & Roger
Nyumbani kwa Mzee Mweyo
Usawa upo kweli? Wengine walianza kula kabla ya....!!!

Urithi wetu ulizingatiwa

Na sisi tukiendelea

Wamilazo na Yeyo

Mr. & Mrs. Abdi

Wenyeji Wetu

Abby Ma-Computer

Manjenje Jr.




Watu na Wake zao

Picha ya Funga  Mwaka


Uwani kunani?

Marafiki na Mwenyeji


Tuwapende zaidi Watoto

Abby Maka

Usifikiri ni Usiku, hapana ilikuwa ni Saa 11 Jioni hivi

No comments:

Post a Comment