Bongo'z Most Dangerous Blog...
Pages
(Move to ...)
Home
News
Sports
Music
Video'z
Photo'z
Events
Milazo XP
Advertise
Love And Relationship
▼
Thursday, November 20, 2014
Video ya Wimbo Mpya Diamond Platnumz - Nitampata Wapi [TAZAMA]
›
Hiki hapa ni kichupa kipya cha msanii mahiri wa Bongo Fleva Diamond Platnumz. Kiaangalie kisha pale chini tiririka na mtazamo wako kwa...
Friday, September 26, 2014
Mwanaume Ajichubua Ngozi kwa Kutumia Acid Ili Afanane na Michael Jackson [PICHA]
›
Jamaa mmoja ambaye ni shabiki mkubwa wa Michael Jackson nchini Brazil ameamua kutumia acid ili kuingarisha ngozi yake ili aweze kufanana n...
8 comments:
Apple Yakiri KUPINDA kwa Simu Mpya ya iPhone 6 Ila Wamesema 'Ni kwa Nadra Sana' [PICHA]
›
Msemaji wa Apple ameeleza kwamba ni wateja wanane tu ndio ambao waliopeleka malalamiko ya kupinda kwa simu zao aina ya iPhone 6 Plus. ...
Friday, September 05, 2014
Huu Hapa ni Ujio Mpya wa Samsung na Kitu cha Galaxy Note Edge [PICHA]
›
Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, hapo jana Samsung walizindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note ambayo inakwenda...
Monday, September 01, 2014
Polisi Ujerumani Wamuokoa Diamond Kutoka kwa Mashabiki Wenye Hasira [PICHA]
›
Ukumbi uliharibiwa na washabiki mjini Stuttgart, Ujerumani Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30, Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwan...
Thursday, August 28, 2014
Kikosi cha Timu ya Manchester United Ndicho Chenye Gharama Zaidi Kwenye Premier League kwa Sasa
›
Ghali: Kiasi cha £60m za Angel Di Maria kuja Manchester United toka Real Madrid imefanya jumla ya pesa za kusajili kikosi cha United kuw...
Tuesday, August 19, 2014
Nicki Minaj na Drake Kwenye Picha Matata za Video Yake Mpya ya Anaconda [PICHA]
›
Hakika Nicky yuko juu na ataendelea kuwa hivyo.... Utakapopata nafasi ya kuiona video ya wimbo wake mpya unategemea kutoka siku ya Jumatan...
Tuesday, August 12, 2014
Picha ya Steven Gerrard Alipokuwa Akishangilia Liverpool Ilipofunga Goli Kwenye Mechi Dhidi ya Fulham Yashinda Tuzo ya Picha Bora Msimu Uliopita [PICHA]
›
Picha iliyopigwa na mpiga picha wa Sportsmail, Kevin Quigley, imeshinda tuzo ya picha bora ya Premier League kwa msimu uliopita, pale alip...
Wednesday, August 06, 2014
Hakika Beyonce Hatokuja Kuipenda Hii! Mwanamke Aweka Picha Mtandaoni Inayomuonyesha Mtoto Wake Anafanana na Jay Z [PICHA]
›
Picha ya mtoto anyefanana na Jay Z imetapakaa kwenye mitandao kwa sasa, huku mashabiki wakitania juu ya rapa huyo huyo toka Brooklyn kuw...
Sunday, June 15, 2014
Ungependa Kuwa Muwakilishi wa Tanzania Kwenye Shindano la Big Brother Mwaka Huu...? Hii Inakuhusu
›
Kampuni ya MultiChoice Africa inayoandaa mashindano ya Big Brother Africa imetangaza tarehe ya usaili wa shindano hilo mwaka huu katika nc...
Tuesday, June 10, 2014
Jennifer Lopez Kutoimba Kwenye Ufunguzi wa Kombe la Dunia
›
Mwanamuziki Jennifer Lopez hatoweza kuimba wimbo rasmi wa Kombe la Dunia kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo nchini Brazil, Fifa i...
Monday, June 09, 2014
Filippo Inzaghi Achukua Nafasi ya Clarence Seedorf Kuifundisha AC Milan
›
Klabu ya AC Milan amemfukuza kazi kocha wake Clarence Seedorf baada ya kipindi kisichozidi miezi mitano toka ashike nafasi hiyo, huku ikim...
Happy Birthday: The Kokomaster D'Banj Atimiza Miaka 34 Leo
›
Mkali toka Naija, Dbanj leo ameongeza mwaka mwengine kwenye maisha yake. Hongera kwake na wote waliozaliwa siku na tarehe kama hii akiwemo...
Kim Kardashian Asema Kanye West Ameyabadili Maisha Yake [Ujumbe wa Birthday]
›
Mnamo siku ya Jumapili Kanye alitimiza miaka 37, mke wake Kim Kardashian alitumia mtandao wa kijamii kusherehekea naye huku akiweka wazi k...
Sunday, June 08, 2014
Msichana wa Bongo Movie Aliyedaiwa Kula Uroda na Mbunge Akana Kuwa Sio Yeye Kwenye Picha Hizo
›
Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli, zimeanza kusambaa kwa kasi ...
Diamond Ashindwa Kupata Tuzo za MTV Base
›
Msanii aliyekuwa akiiwakilisha Bongo kwenye tuzo za MTV Base, Diamond Platnumz ameshindwa kutwaa tuzo mara baada ya tuzo alizokuwa akigom...
Kauli ya Kwanza ya Diamond Mara Baada ya Tuzo za MTV Base
›
Mara baada ya kumalizika kwa tuzo za Mtv Base huku mwanamuziki aliyewakilisha Bongo Diamond Platnumz kushindwa kupata tuzo, kupitia ukuras...
Mzee Small Afariki Dunia
›
Muigizaji mkongwe nchini Said Ngamba maarufu kama Mzee Small amefariki dunia siku ya Jumamosi majira ya saa 4 usiku akiwa katika Hospitali...
Thursday, June 05, 2014
Kutaka Kuwa na Makalio Makubwa Kumemponza Dada Huyu, Hebu Mcheki Alivyoharibika
›
Kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au haujatumia ila una...
Ndoa ya Flora Mbasha Yalala Chali, Flora Adaiwa Kuhamia kwa Gwajima
›
Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha. BAADA ya kudumu kwa zaidi ya miaka 10, imebainika kuwa ndoa ya mwanamuziki mahiri wa mu...
Wednesday, June 04, 2014
Je ni Kweli Kwamba Beyonce Ana Mahusiano ya Siri na Mlinzi Wake [PICHA]
›
Kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni, inasemekana kwamba Jay Z anapatwa sana na wivu kutokana na ukaribu wa Beyonce na mlinzi wake aitwa...
›
Home
View web version